• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: utumaj wa fedha kutoka nje ulifika Shs trilioni 4 mwaka wa 2016 – benki ya duni a yasema

    (GMT+08:00) 2017-05-08 19:51:34
    Utumaji wa kibinfsi wa fedha kutoka nje kuingia nchini Uganda inakadiriwa kufikia dola bilioni 1.078 (Shs3.632 trilioni) katika mwaka wa 2016 kutoka dola bilioni 1.049 (kuhusu Shs3.631 trilioni)katika mwaka wa 2015, rekodi kutoka Benki ya Dunia imebainisha.

    Utumaji wa Fedha kutoka nje unafanyika kwa njia ya bidhaa au fedha ambazo watu wanaokaa nchi za nje hutuma nyumbani kwa familia zao.

    Uchunguzi umeonyesha kuwa watu wenye kipato cha chini, umaskini, au wenye hawana ajira mara nyingi uhamia nchi mbalimbali kufanya kazi na kutuma mapato yao nyumbani.

    Takwimu ya Benki ya Dunia juu ya mapato ya watu kutoka nje inaonyesha kwamba Uganda ilipokea wastani dola milioni 887 mwaka wa 2014 ikilinganishwa na dola milioni 914 katika mwaka wa 2013.

    Mkurugenzi Mtendaji wa utafiti katika Benki Kuu ya Uganda (Bou), Dk Adam Mugume, alisema katika mkutano wa mwisho wa fedha inayoingi nchini Uganda kutoka nchi za nje imeongezeka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako