• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: wakazi wa kaunti ya Busia wajaa Uganda kwa ajili ya kununua bidhaa muhimu

    (GMT+08:00) 2017-05-08 19:52:37

    Gharama ya juu ya maisha nchini Kenya imelazimu wakazi wa busia kaunti kuvuka kwenda maduka ya Uganda kununua bidhaa muhimu.

    Kati ya bidhaa hizo muhimu ni sukari, maziwa na mahindi na unga wa ngano huku wakisema bidhaa katika nchi jirani zinauzwa gharama nafuu.

    Maduka ya rejareja nchini Uganda wanauza kilo moja ya sukari ni Sh150 ikilinganishwa na makubwa ya ndani nchini Kenya ambapo kilo moja ni Sh200.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako