• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Ajenda ya mifugo endelevu duniani wafunguliwa Addis Ababa

    (GMT+08:00) 2017-05-09 09:16:36

    Mkutano wa saba wa wadau kuhusu ajenda ya mifugo endelevu duniani umefunguliwa jana mjini Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo wa siku nne unaohudhuriwa na wataalamu zaidi ya 250 kutoka nchi 50, unalenga kuimarisha nafasi ya mifugo katika kuboresha maisha, kuzalisha chakula salama na kulinda mazingira, na unafuatilia kuonesha mchango chanya wa mifugo kwa maisha ya mamilioni ya wafugaji kote duniani, na kuhimiza maendeleo endelevu ya sekta hiyo inayokua kwa kasi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako