• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa yaanza huko Bonn

    (GMT+08:00) 2017-05-09 10:21:10

    Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ulianza jana huko Bonn, Ujerumani.

    Wajumbe 3,000 wanahudhuria mkutano huo kujadili utekelezaji wa makubaliano ya Paris katika siku za baadaye, na maandalizi ya mkutano wa awamu ijayo wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa utakaofanyika mwezi Novemba huko Bonn.

    Mkutano huo wa siku 10 pia utakuwa na sehemu tatu, ukiwemo mkutano kuhusu utekelezaji wa makubaliano ya Paris SBI, mkutano wa ushauri wa kisayansi na kiteknolojia SBSTA na mkutano wa kwanza kikundi maalumu kuhusu makubaliano ya Paris APA.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako