• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu waliofariki katika mlipuko uliotokea kwenye machimbo ya makaa ya mawe nchini Iraq yafikia 42

    (GMT+08:00) 2017-05-09 18:35:18

    Idadi ya watu waliofariki katika mlipuko uliotokea kwenye machimbo ya makaa ya mawe ya Zemestan Yourt, mkoa wa Golestan kaskazini mwa Iraq jumatano iliyopita imefikia 42 baada ya miili mingine 7 kupatikana mapema leo.

    Ofisa mmoja kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa huo amesema, miili hiyo imepelekwa maabara kwa ajili ya utambuzi. Ripoti zinasema, zaidi ya wachimbaji 100 wamejeruhiwa katika ajali hiyo.

    Maofisa wamesema huenda mlipuko huo umetokea kutokana na kurundikana kwa gesi ya methane katika handaki hilo lenye urefu wa kilomita 2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako