• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yasitisha msaada kwa sekta ya afya nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2017-05-09 18:56:32

    Serikali ya Marekani imesitisha ufadhili unaotolewa kwa wizara ya afya ya Kenya kutokana na wizara hiyo kushindwa kufikia masharti yaliyowekwa.

    Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limesema, maelekezo hayo yataathiri idara zote za afya mpaka pale mazingira ambayo hayajawekwa wazi yaliyoandikwa kwenye barua iliyotolewa jana yatakapotimizwa.

    Hata hivyo, mwakilishi wa shirika hilo nchini Kenya Brian Woody amesema, ufadhili wa manunuzi ya vifaa vinavyohusika na tiba za kuokoa maisha, kuzuia, mlipuko wa magonjwa au hali ya dharura havitahusika na hatua hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako