• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia:ukosefu wa maji swala tata

    (GMT+08:00) 2017-05-09 19:06:55

    Ripoti ya umoja wa mataifa ya siku ya kimataifa ya maji ilionya kwamba kufikia mwaka 2014 mtoto mmoja miongoni mwa wanne atakosa maji.

    Hali hii imeanza kuchipuza nchini Ethiopia kwani sehemu za meneo kame watoto milioni 1.4 wamekosa maji kabisa na mifugo kufariki.

    Takmwimu za umoja wa mataifa zimeeleza bayana kwamba watu milioni 9 nchini Uhabesha mwaka huu watakosa maji haswa katika mkoa wa kaskazini kuliko na kiangazai kikali.

    Hali hii imesababishwa na kuharibiwa kwa misitu na vyanzo vya maji kutokana na ujenzi na ukosefu wa uhifadhi wa mazingira.

    Sio Ethipia nchi 36 duniani zinakumbwa na ukosefu wa maji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako