• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kimataifa kuhusu umeme wa maji wafuatilia muunganiko wa nishati barani Afrika

    (GMT+08:00) 2017-05-10 09:20:02

    Mkutano wa mwaka wa umeme wa maji duniani umefunguliwa huko Addis Ababa, na utajadili namna ya kuendeleza nishati safi na kuhimiza muunganiko wa nishati barani Afrika. Akiongea kwenye mkutano huo, mwenyekiti wa Jumuiya ya maendeleo na ushirikiano kuhusu nishati na mtandao duniani Bw. Liu Zhenya amesema, hivi sasa Afrika inakabiliwa na changamoto kubwa za nishati, ikiwemo ukosefu mkubwa wa umeme, shinikizo linalotokana na kuongezeka kwa mahitaji ya umeme na tatizo la uchafuzi wa mazingira. Anaona Afrika inapaswa kuendeleza nishati safi na endelevu, ili kuondoa mizizi ya changamoto hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako