• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kaskazini kutuma ujumbe kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Ukanda mmoja na Njia moja

    (GMT+08:00) 2017-05-10 09:20:57

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema Korea Kaskazini itatuma ujumbe kwenye Mkutano wa Baraza la Ukanda mmoja na Njia moja utakaofanyika wikiendi hii hapa Beijing, lakini hakudokeza ni nani atakayeongoza ujumbe huo. Bw. Geng Shuang amesema pendekezo la Ukanda mmoja na Njia moja ni wazi na shirikishi, na China inakaribisha nchi zote zenye malengo na maslahi ya pamoja kujiunga kwenye pendekezo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako