• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi asaini amri ya kutangaza utaratibu wa utungaji wa sheria za kijeshi

    (GMT+08:00) 2017-05-10 16:21:31

    Mwenyekiti wa tume ya jeshi ya Kamati Kuu cha Chama cha Kikomunisti cha China ambaye pia ni rais wa China Xi Jinping, amesaini amri ya kutangaza utaratibu wa utungaji wa sheria kuhusu mambo ya jeshi, ulioanza kutekelezwa Jumatatu wiki hii.

    Utaratibu huo una sura 12 na ibara 78, ukibainisha kanuni za kimsingi za utungaji wa sheria kuhusu mambo ya jeshi, ikiwemo kuweka mipaka ya madaraka ya kutunga sheria, utaratibu, na nyaraka nyingine kuhusu mambo ya jeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako