• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zambia yawa nchi ya kwanza ya Afrika kuongoza ICPEN

    (GMT+08:00) 2017-05-10 16:22:13

    Zambia imechaguliwa kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kuongoza Mtandao wa Kimataifa wa Sheria ya Ulinzi wa Wanunuzi (ICPEN), tangu kuanzishwa kwa chombo hicho.

    Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Biashara na Viwanda ya Zambia imesema, Tume ya Ushindani na Ulinzi wa Wanunuzi ya Zambia (CCPC) ilichaguliwa kuwa mwenyekiti wa ICPEN kwa kipindi cha mwaka 2018/2019, wakati wa mkutano wa mtandao huo uliofanyika hivi karibuni nchini Ujerumani. Katibu wa kudumu wa Wizara hiyo Kayulu Siame amesema hatua hiyo itakuwa nzuri kwa biashara ya nchi hiyo na imani ya wanunuzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako