• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SportPesa kuzinduliwa tanzania

    (GMT+08:00) 2017-05-10 19:53:33

    Kampuni ya bahati nasibu SportPesa imezindua shughuli zake nchini Tanzania.

    Kuingia kwa kampuni hiyo nchini Tanzania umekuja wakati sportpesa imeanza kukupata mashabiki Afrika Mashariki, jambo ambalo limefanya makampuni ya ndani kuonyesha uwepo wao.

    Sportpesa ilizinduliwa mjini Dar es salam jana huku serikali ikisema kwamba inatarajia mapato kutoka kwa sportpesa itaelekezwa katika kukuza sekta ya michezo nchini humu.

    Waziri wa michezo nchini Tanzania Harrison Mwakyembe, amehakikishia kampuni ya sportpesa usaidizi kutoka kwa wizara ya michezo.

    Aidha amesema huu ndio wakati mzuri wa kuwezesha sekta ya michezo na hatutaacha nafasi hii iende.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako