• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Sudan Kusini amfukuza kazi mkuu wa majeshi

    (GMT+08:00) 2017-05-10 20:11:15

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemfukuza kazi mkuu wa majeshi wa nchi hiyo jenerali Paul Malong katika amri iliyotangazwa kupitia televisheni ya taifa mjini Juba, na nafasi yake itachukuliwa na Luteni Jenerali James Ajongo Mawut.

    Jenerali Malong amteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Sudan Kusini (SPLA) Disemba mwaka 2013 baada ya kutokea kwa vita, na mpaka anafukuzwa kazi alikuwa ni sehemu ya kundi la majenerali wa ngazi ya juu wanaotuhumiwa na Umoja wa Mataifa kupanga mauaji na uhalifu wa kivita wakati wa miaka zaidi ya mitatu ya mapigano makali nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako