• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CAF yamteua Leodgar Tenga kuwa rais wa kamati ya usimamizi wa mfumo wa leseni kwa vilabu

    (GMT+08:00) 2017-05-11 08:42:39

    Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Soka Barani Afrika, CAF kimemteua Rais wa heshima wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodgar Tenga kuwa rais wa kamati ya usimamizi wa mfumo wa leseni kwa vilabu, Uteuzi huo umekuja muda mchache baada ya kukaa kikao cha kamati ya Utendaji chini ya mwenyekiti wa CAF Ahmad walipokutana hivi karibuni katika Hoteli ya Sheraton Manama, Bahra

    Aidha, Tenga atakuwa akisaidiwa na Rais wa Shirikisho la Soka nchini Afrika Kusini, Danny Jordan ambaye ameteuliwa kuwa makamu wa kamati hiyo pamoja na kupewa cheo kingine cha urais katika kamati ya Masoko na Televisheni .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako