• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Usain Bolt amshauri Alexis Sanchez kuhama Arsenal

    (GMT+08:00) 2017-05-11 08:42:59

    Mwanariadha maarufu kutoka Jamaica, Usain Bolt amemshauri mshambuliaji wa klabu ya Arsenal, Alexis Sanchez kuhama Klabuni hapo kama anataka kuwa bora zaidi. Usain Bolt ambaye ni Shabiki mkubwa wa Klabu ya Manchester United amesema mchezaji huyo ana kiwango kikubwa sana, ila anashindwa kukionyesha kutokana na timu anayoichezea. Hivyo anaamini kama atahama klabuni hapo huenda akang'ara zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako