• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hali isiyotabirika ya kiuchumi duniani yatishia uwekezaji Afrika

    (GMT+08:00) 2017-05-11 09:06:25

    Mkutano wa Shirika la bima ya biashara la Afrika ATIA unaona kuwa hali isiyotabirika ya kiuchumi duniani inatishia uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni barani Afrika. Mawaziri, wawekezaji na wajumbe kutoka sekta binafsi wanaohudhuria mkutano huo wa siku mbili mjini Nairobi, wamesema katika hali ambayo fedha nyingi zinahitajika kwenye miradi ya miundombinu muhimu, kiwango cha hatari kwa miradi hiyo kitajitokeza kidhahiri wakati nchi mbalimbali zinagombea fedha zinazopatikana kwenye sekta binafsi. Rais Patrice Talon wa Benin akiongea kwenye mkutano huo amesema ushirikiano kati ya sekta za umma na binafsi ndio ni utatuzi wa mahitaji ya uwekezaji barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako