• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump wa Marekani aonesha nia ya kuboresha uhusiano na Russia

    (GMT+08:00) 2017-05-11 09:07:01

    Rais Donald Trump wa Marekani jana alipokutana na waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergey Lavrov amesisitiza nia yake ya kuboresha uhusiano kati ya Marekani na Russia. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani inasema kuna uwezekano kwa Marekani na Russia kupanua ushirikiano katika kutatua migogoro ya kikanda ikiwemo suala la Mashariki ya Kati, na rais Trump amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya Marekani na Russia katika kumaliza msukosuko nchini Syria na pia amesema Marekani itaendelea kushiriki kwenye utatuzi wa suala la Ukraine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako