• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahamiaji 300 kutoka Afrika waokolewa katika pwani ya Libya

    (GMT+08:00) 2017-05-11 16:48:47

    Wahamiaji haramu 300 wameokolewa na kikosi cha ulinzi wa pwani cha Libya katika mji wa Sabratha, magharibi mwa nchi hiyo.

    Msemaji wa kikosi hicho Ayob Qassem amesema, wahamiaji hao wametoka eneo la kusini mwa jangwa la Sahara na kujaribu kusafiri kwenda Ulaya.

    Polisi wa Libya wamewasindikiza wahamiaji hao kwenye kituo cha wahamiaji haramu mjini Tripoli, wakisubiri kurudishwa makwao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako