• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kupeleka kikosi cha 5 cha walinzi wa amani nchini Mali

    (GMT+08:00) 2017-05-11 17:47:48
    Kikosi cha askari 395 wa kulinda amani wa China wako tayari kuanza kutekeleza majukumu yao nchini Mali kwa niaba ya Umoja wa Mataifa kabla ya mwisho wa mwezi huu.

    Askari hao watapelekwa nchini Mali kwa makundi mawili, ambapo watakuwa huko kwa mwaka mmoja. Askari hao ni pamoja na wahandisi kutoka jeshini, walinda amani, na wahudumu wa afya.

    Hiki ni kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka China kupelekwa nchini Mali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako