• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Mfumko wa bei Rwanda wapungua hadi asilimia 7.3 mwezi Aprili

    (GMT+08:00) 2017-05-11 18:57:37

    Mfumko wa bei nchini Rwanda umepungua hadi asilimia 7.3 hadi mwezi Aprili ikilinganishwa na asilimia 7.7 iliokuwepo mwezi uliopita.

    Lakini kiwango cha mfumko bado ni cha juu ikilinganishwa na kipindi sawa na hiki mwaka 2016.

    Ripoti ya kila mwezi ya taasisi ya taakwimu za kitaifa inaonyesha kuwa kuongezeka kwa mfumko kunatokana na kupanda kwa bei ya chakulana vinywaji.

    Benki ya kitaifa ya Rwanda imesema pia mabadiliko ya hali ya anga na gharama za uchukuzi zimechangia kupanda kwa bei.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako