• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Brazil atangaza kumalizika kwa hali ya dharura ya kitaifa ya ugonjwa wa Zika

    (GMT+08:00) 2017-05-12 09:42:27

    Wizara ya afya ya Brazil imetangaza kumalizika kwa hali ya dharura ya kitaifa inayotokana na mlipuko wa ugonjwa wa Zika nchini humo. Hatua mfululizo zilizochukuwa na serikali ya nchi hiyo za kuangamiza mbu aina ya Aedes aegypti, zimechangia kupungua kwa maambukizi ya ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako