• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tamasha la vyakula kwa wakimbizi kufanyika Ulaya mwezi Juni

    (GMT+08:00) 2017-05-12 09:43:07

    Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetangaza kuwa tamasha la vyakula la wakimbizi kwa mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya wakimbizi duniani, litafanyika mwezi wa Juni katika miji 13 mikubwa barani Ulaya, ili kuonesha vipaji vya wakimbizi vya kupika na kuwasaidia kujiunga kwenye jamii za kienyeji. Tamasha la kwanza la vyakula la wakimbizi lilifanyika mwaka jana mjini Paris, ambapo zaidi ya watu elfu moja walionja vyakula mbalimbali vilivyoandaliwa na mapishi wakimbizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako