• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpango wa nishati uliotolewa na China waleta matumaini ya uwepo nishati safi na endelevu barani Afrika

    (GMT+08:00) 2017-05-12 09:59:01

    Mwenyekiti wa Shirika na maendeleo na ushirikiano kuhusu muunganyiko wa nishati duniani Bw. Liu Zhenya amesema, mpango wa nishati uliotolewa na China uitwao Muunganyiko wa Nishati Duniani GEI, unaweza kutia nguvu mpya katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi barani Afrika.

    Bw. Liu alisema hayo katika Mkutano wa mwaka wa Baraza la umeme wa maji duniani uliofanyika huko Addis Ababa, Ethiopia.

    Mwaka 2015, China ilipendekeza mpango wa GEI unaolenga kukidhi mahitaji ya nishati duniani kwa njia safi na endelevu.

    Kwenye mkutano huo, Bw. Liu amesisitiza mahitaji ya juhudi za pamoja katika muunganyiko wa nishati barani Afrika na kuchangia maendeleo endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako