• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Li Yuanchao atembea familia ya wakazi wenyeji nchini Burundi

    (GMT+08:00) 2017-05-13 17:05:30

    Makamu wa rais wa China Bw. Li Yuanchao ambaye yuko ziarani nchini Burundi tarehe 12 mwezi Mei alitembea familia ya profesa wa chuo kikuu cha Burundi Bw. Joseph Nzeyimana, na kukaribishwa vizuri na familia ya Profesa Joseph.

    Bw. Joseph aliwahi kusoma nchini China kwa miaka zaidi 10, na anaweza kuzungumza vizuri lugha ya kichina, Bw. Li Yuanchao aliwasiliana naye kuhusu mambo ya familia yake kwa lugha ya kichina. Bw. Li Yuanchao alipojua Profesa Joseph ni mkuu wa upande wa Burundi wa chuo cha Confucius cha chuo kikuu ya Burundi, na mtoto wake mkubwa anasoma nchini China, Bw Li Yuanchao aliisifu familia ya Profesa Joseph ni familia ya urafiki kati ya China na Burundi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako