• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa wavu (Volleyball): Murangwa awasili Korea ya Kusini kwa ajili ya majaribio ya kitaalamu

    (GMT+08:00) 2017-05-15 08:33:26
    Nelson Murangwa toka nchini Rwanda amewasili Korea Kusini kwa kipindi cha majaribio ya wiki 2 na vilabu vya Korea. Yeye ni mmoja wa wachezaji 172 kutoka duniani kote walioalikwa na timu ya mpira wa wavu ya Korea kwa ajili ya majaribio kya kufuzu kusajiliwa na moja ya klabu nchini humo kwa ajili ya msimu wa ligi ya mchezo wa wavu nchini humo.

    Wachezaji wengine walioitwa kwenye majaribio hayo ni kutoka Brazil, Ulaya na Asia.

    Miaka mitatu iliyopita, Murangwa alifanya majaribio nchini Japan na kutofanikiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako