• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji 27 wa IS wauawa katika mashambulizi ya anga magharibi mwa Iraq

    (GMT+08:00) 2017-05-15 09:25:10

    Jumla ya wapiganaji 27 wa kundi la Islamic State wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na muungano wa kimataifa wa kupambana na kundi hilo kwenye mkoa wa Anbar ulioko magharibi mwa Iraq ambao sasa unadhibitiwa na kundi la IS.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako