• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Wenye Viwanda Uganda wanalilia serikali juu ya kodi za juu

    (GMT+08:00) 2017-05-15 19:22:39

    Chama cha Wenye Viwanda Uganda (UMA) wanalilia serikali juu ya kodi za juu.

    Chama hicho kinaomba serikali kuingilia kati ili kuokoa makampuni zaidi zisifunge.

    Mwenyekiti wa UMA ameambia waziri wa Biashara Amelia Kyambadde kwamba makampuni nyingi zinafungwa kwa sababu ya viwango vya juu vya riba.

    Hata hivyo serikali ndiye matumizi mkubwa na inaendelea kuagiza bidhaa badala ya kuzinunua nchini.

    Makampuni mengi yanasemekana kuzama kifedha kwa sababu ya viwango vya juu vya riba hivyo kuwalazimu baadhi ya wafanyibiashara kutafuta njia mbadala kama vile kuomba fedha katika Shirika la Ubelgiji la Uwekezaji ambayo ina viwango nafuu vya riba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako