• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya Mpira wa kikapu NBA-Golden State Warriors yatokea tundu la sindano dhidi ya San Antonio Spurs

    (GMT+08:00) 2017-05-16 08:36:05
    Golden State Warriors haikujulikana kipi wanachokifanya uwanjani mpaka Stephen Curry alipoanza kufanya vyema kwenye robo ya tatu ya mchezo wa kwanza wa fainali ya kanda ya magharibi dhidi ya San Antonio Spurs, huku akimpisha Kevin Durant kuamua mchezo katika robo ya nne.

    Hadi mwisho wa mchezo Warriors walishinda mchezo huo kwa kuwapiga San Antonio Spurs 113-111 katika mchezo huo wa kwanza wa fainali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako