• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Italia: Juventus yadundwa, yakosa nafasi kutwaa ubingwa mapema

    (GMT+08:00) 2017-05-16 08:36:58
    Juventus imekosa nafasi ya kutwaa ubingwa wao wa Serie A wa 6 mfululizo mapema kabla ligi hiyo kuu ya Italy kwisha baada Juzi kudundwa bao 3-1 ugenini na timu ianyoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo AS Roma.

    Hata hivyo, Juve wanabaki kileleni mwa Serie A wakiwa pointi 4 mbele ya Roma huku mechi zikibaki 2 na Jumapili ijayo, wakiwa kwao Juventus Stadium Jijini Turin, wana nafasi nyingine ya kuwa Mabingwa ikiwa wataifunga Crotone.

    Kabla ya hapo, kesho Jumatano usiku, wanapambana na SS Lazio kwenye fainali ya Coppa Italia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako