• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raia zaidi ya 40 wauawa katika mashambuzi ya anga Syria

    (GMT+08:00) 2017-05-16 09:03:49

    Raia zaidi ya 40 wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa jana na muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani wa kupambana na kundi la Islamic State mkoani Deir ez-Zor, mashariki mwa Syria. Kabla ya hapo, mashambulizi ya anga yaliyofanywa na muungano huo tarehe 10 na 11 mwezi huu yalisababisha vifo vya raia zaidi ya 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako