• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu zaidi ya 40 wauawa katika shambulizi la anga la jeshi la muungano nchini Syria

  (GMT+08:00) 2017-05-16 18:26:35

  Raia zaidi ya 40 wameuawa katika shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la muungano linaloongozwa na Marekani dhidi ya kundi la IS katika mji wa Abu Kamel, Syria unaodhibitiwa na kundi hilo.

  Habari zinasema, serikali ya Syria imesema shambulizi hilo halikuidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, na kulaani jeshi hilo kuwaua raia wengi wa Syria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako