• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WB: madeni makubwa yafanya mashirika ya huduma Afrika yadorore

    (GMT+08:00) 2017-05-17 09:13:00

    Benki ya dunia imetahadharisha kuwa madeni yanayoongezeka huenda yatayaweka mashirika ya huduma barani Afrika katika hatari kubwa ya kudorora. Tahadhari hiyo imetolewa kwenye Wiki ya mashirika ya huduma ya Afrika iliyofunguliwa jana huko Cape town, kufuatia ripoti kuhusu hali ya kuongezeka kwa gharama na kupungua kwa faida inayolikabili shirika la umeme la Afrika Kusini Eskom.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako