• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Durban kuwa mwenyeji wa tamasha la utalii la Afrika Inbada kwa miaka 5 ijayo

    (GMT+08:00) 2017-05-17 09:13:17

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza kuwa mji wa Durban utakuwa mwenyeji wa tamasha la utalii la Afrika Indaba kwa miaka mitano ijayo. Rais Zuma alitoa tamko hilo akizindua tamasha la mwaka huu linaloshirikiwa na nchi 12 za Afrika kuonesha vivutio vyao vya utalii. Tamasha la utalii la Afrika indaba ni jukwaa muhimu kwa waafrika kuwapokea wadau wa kimataifa na kutangaza bidhaa zao za utalii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako