• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakenya sasa watapata nafuu baada gharama ya juu ya unga wa mahindi kupungua hadi sh 90.

    (GMT+08:00) 2017-05-17 20:02:30

    Wakenya sasa watapata nafuu baada gharama ya juu ya unga wa mahindi kupungua hadi sh 90.

    Waziri wa Kilimo Willy Bett alitoa tangazo hili Jumanne katika mkutano wa habari, na kusema kuwa bei mpya itaanza kutumika leo.

    Wazalishaji unga sasa watanunua mfuko 90 wa mahindi Sh2,300.

    Hii itawezesha wazalishaji kuuza pakiti ya kilo mbili ya unga wa mahindi Sh90 na Sh47 kwa pakiti ya kilo1.

    Mara ya mwisho pakiti ya kilo mbili ya unga wa mahindi iliuzwa karibu Sh90 ilikuwa miaka saba iliyopita, wakati iliuzwa Sh70 katika mwezi Desemba mwaka wa 2010 na mwaka wa 2011 kuuzwa kwa kati ya Sh86 na Sh89.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako