• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bw. Wang Yi akutana na mwenzake wa Mauritius Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo

  (GMT+08:00) 2017-05-18 08:46:52

  Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekutana na mwenzake wa Mauritius Bw. Vishnu Lutchmeenaraidoo ambaye yuko ziarani nchini China baada ya kuhudhuria mkutano wa Baraza la Ukanda mmoja na Njia moja uliofungwa Jumatatu hapa Beijing. Bw. Wang Yi amesema China inaikaribisha Mauritius kujijenga kuwa daraja linalounganisha China na Afrika kwenye ujenzi wa Ukanda mmoja na Njia moja. Kwa upande wake Bw. Lutchmeenaraidoo amesema nchi yake itaendelea kuimarisha ushirikiano na China, chini ya utaratibu wa Ukanda mmoja na Njia moja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako