• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jeshi la Iraq lakomboa eneo lingine magharibi mwa Mosul

  (GMT+08:00) 2017-05-18 09:34:20
  Jeshi la Iraq limekomboa eneo la al-Rifai magharibi mwa mji wa Mosul baada ya mapigano makali na kundi la IS.

  Ushindi huo umekuja siku mbili baada ya jeshi hilo kukombea eneo la al-Uraybi mjini Mosul.

  Mwezi Januari mwaka huu, waziri mkuu wa Iraq Bw. Haider al-Abadi alitangaza kukombolewa kwa maeneo ya mashariki mwa Mosul, na Mwezi Februari alitangaza kuanza kwa operesheni ya kuwaondoa wapiganaji wa kundi la IS kutoka kwenye sehemu ya magharibi mwa mji huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako