• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Mauzo ya kahawa ya Rwanda yaongezeka

    (GMT+08:00) 2017-05-18 19:09:29

    Mauzo ya kahawa ya Rwanda yamepanda mwezi machi hadi dola milioni 2.4 kutoka dola milioni 2.1 kipindi sawa na hicho mwaka 2016.

    Halmashauri ya kuuza nje bidhaa za kilimo nchini humo imesema ukuaji huo wa mapatao umepatikana licha ya kuwa na upunguaji wa bei kwenye soko la kimataifa.

    Kilo moja ya kahawa kwenye soko la kimataifa ilishuka hadi dola $2.36 ikilinganishwa na dola $2.40 Machi 2016.

    Rwanda imeuza kilo milioni 1.08 za kahawa hadi mwezi Machi mwaka huu lakini koindi sawa na hicho mwaka jana ilikuwa imeuza 906,251. Wanunuzi wakuu wa chai ya Rwanda ni Uholanzi, Afrika Kusini, Uingereza, Marekani, Ujerumani na Korea Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako