• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Tigo Rwanda yapunguza ada ya kupiga simu

    (GMT+08:00) 2017-05-18 19:13:25

    Wateja wa huduma za mawasiliano za Tigo nchini Rwanda watafurahia puguzo la ada za kupiga.

    Kampuni hiyo imesema sasa kupiga simu kwa dakika moja kutagharimu franc 35 kwenye mitandao yoyote.

    Akitangaza punguzo hilo mkurungezi wa Tigo Yaw Ankoma Agyapong, amesema sasa watawezesha wateja zaidi kuwasiliana na jamaa zao na pia kusaidia biashara ndogo ndogo kukua

    Awali ada ya kupiga simu kwa dakika moja ilikuwa ni franc 40 na franc 51 kwa simu za kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako