• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mafuta zaidi yapatikana Kenya

    (GMT+08:00) 2017-05-18 19:13:58

    Kampuni ya kuchimba mafuta ya Tullow nchini Kenya imepata mafuta zaidi kwenye eneo la Lokichar katika kaunti ya Turkana.

    Tullow imesema mafuta hayo yameguduliwa katika eneo la Emekuya baada ya kuchimba jiwe kwa mita 75 lenye mafuta.

    Maneja wa Tullow nchini Kenya Martin Mbogo amesema ugunduzi huo umeongezea matumaini yao ya kupata mafuta zaidi.

    Tayari kampuni hiyo imesaini makubaliano na serikali ya Kenya ili kuanza kusafirisha mafuta hadi Mombasa tayari kwa kuuza nje badaye mwezi ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako