• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Uchumi wa Uganda kukua kwa asilimia 4 mwaka huu

  (GMT+08:00) 2017-05-18 19:32:11

  Shirika la fedha la kimataia IMF limeshukisha matarajio ya ukuaji wa uchumi wa Uganda hadi asilimia 4 kutoka asilimia 5 iliotarajiwa awali.

  IMF imesema ukame umeathiri uchumi wa nchi hiyo hasa katika robo ya kwanza ya mwaka.

  Hata hivyo kuna matumaini ya kuimarika kwa uchumi huo kufuatia msimu wa mvua na dalili za kuongezeka kwa uwekezaji.

  Hata hivyo serikali huenda ikalazimika kutafuta ufadhili wa bajeti ijayo baada ya mamlaka ya kukusanya ushuru kukosa kupata shilingi bilioni 240 ndani ya miezi 9 ya mwaka wa fedha wa 2016/2017.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako