• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marekani yapenda kutimiza amani kati yake na Korea ya Kaskazini kwa njia ya mazungumzo

  (GMT+08:00) 2017-05-18 20:15:57

  Rais Donald trump wa Marekani amesema nchi yake inapenda kutimiza amani kati yake na Korea ya Kaskazini katika wakati mwafaka.

  Rais Trump amesema hayo alipokutana na mjumbe maalumu wa Korea ya Kusini Bw. Hong Seok-hyun jana huko Washington.

  Katika mazungumzo hayo, rais Trump amesema hivi sasa nchi yake iko katika mchakato wa kuiwekea vikwazo Korea ya Kaskazini, lakini Marekani inapenda kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo katika wakati mwafaka.

  Pia Marekani inatarajia kupata matokeo kuhusu Peninsula ya Korea kwa kupitia mazungumzo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako