• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Sudan Kusini awashutumu waasi kwa kukiuka usitishaji vita

  (GMT+08:00) 2017-05-19 08:41:14

  Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amewashutumu waasi kwa kukiuka usitishaji vita, baada ya mapigano mapya kuibuka Jumanne katika mji wa mpakani wa Yei, na kusababisha vifo vya askari wanne. Rais Kiir ameliamuru jeshi la nchi hiyo kuwa tayari kujilinda na kujibu mashambulizi yoyote ya waasi yanayoweza kutokea, na pia amewataka wananchi, wakiwemo wanajeshi kuwa na uzalendo ili kulinda uhuru wa nchi hiyo uliopatikana baada ya vita iliyodumu kwa miongo miwili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako