• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wapiganaji 33 wa Al-Shabaab wakamatwa nchini Kenya ndani ya miezi 4

  (GMT+08:00) 2017-05-19 08:41:35

  Polisi nchini Kenya wametangaza kuwa wamewakamata wapiganaji 33 wa kundi la Al-Shabaab kati ya Desemba mwaka jana hadi Machi mwaka huu katika operesheni inayoendelea ya Linda Boni katika mji wa pwani wa Lamu. Naibu kamishna wa kaunti ya Mombasa Bw Michael Kioni amesema washukiwa hao waliokuwa wako njiani kutoka Somalia kwenda Kenya kufanya mashambuzi dhidi ya Lamu na maeneo ya kaskazini mashariki mwa Kenya, walikamatwa na maofisa wa usalama kutokana na taarifa za kijasusi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako