• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maofisa na wataalam wa Afrika wakutana nchini Morocco kujadili maendeleo endelevu

  (GMT+08:00) 2017-05-19 18:35:49

  Zaidi ya wajumbe 500, wakiwemo maofisa na wataalam kutoka Afrika watahudhuria mkutano huo wa siku mbili waAfrika kuhusu maendeleo endelevu ya binadamu umeanza leo mjini Fez, Morocco.

  Chini ya kaulimbiu ya "kubadilishana mafanikio ya uzoefu ili kupata maendeleo endelevu ya binadamu barani Afrika", washiriki watabadilishana uzoefu wa nchi zao kuhusu jindi ya kutimiza malengo ya maendeleo endelevu ya binadamu.

  Mkutano huo pia utaonyesha mafanikio ya Pendekezo la Morocco la Maendeleo ya Binadamu lililozinduliwa miaka 12 iliyopita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako