• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) U-17, Tanzania yatolewa

    (GMT+08:00) 2017-05-22 08:45:47

    Tanzania imetolewa katika michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17, baada ya timu yake ya Serengeti Boys kufungwa 1-0 na Niger katika mchezo wa mwisho wa kundi B usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Port Gentil mjini Gentil, Gabon.

    Matokeo hayo yanazifanya Niger na Tanzania zifungane pointi na wastani wa mabao ya kufunga na kufungwa, hivyo mshindi katika mechi baina yao anafuzu Kombe la Dunia Oktoba mwaka huu India na pia kwenda nusu Fainali ya michuano hiyo.

    Niger anaungana na Mali iliyoongoza kundi kwa pointi zake 7 baada ya ushindi wa mechi 2 na sare moja, wakati Tanzania na Angola zote zinatolewa

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako