• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu ya Uingereza (EPL): Yafika tamati, Chelsea washeherekea ubingwa

    (GMT+08:00) 2017-05-22 08:48:16

    Ligi kuu ya Uingereza (EPL) jana imefika tamati ya msimu kwa mabingwa Chelsea kukabidhiwa kombe lao la ubingwa walioutwaa tangu wiki iliyopita.

    Huko Stamford Bridge, Chelsea waliibamiza Sunderland goli 5-1, na baada ya kipenga cha mwisho cha refarii Chelsea na mashabiki wao ilikuwa nderemo kwa kulipokea kombe. Nao Tottenham wameshika nafasi ya 2 kwa kuibamiza Hull City 7-1. Manchester City wakiifunga Watford 5-0 huku Liverpool wakiichapa Middlesbrough 3-0. Kwa hali hiyo Arsenal imeshikilia nafasi ya 5 licha ya kuifunga Everton 3-1 na kuikosa UEFA Champions Ligi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako