• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 20 waripotiwa kuambukizwa Homa ya Ebola DRC

    (GMT+08:00) 2017-05-22 09:20:32

    Watu watatu wamefariki dunia na wengine ishirini wameripotiwa kuambukizwa homa ya Ebola katika kijiji cha Likati kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Hii ni wiki tatu tangu Shirika la afya dunia WHO kutangaza kuwepo kwa mlipuko wa homa hiyo. Serikali ya Mkoa wa Basuele imekuwa ikifanya juhudi kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako