• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China kuhudhuria mkutano wa viongozi wa China na Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2017-05-22 19:24:36

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bi. Hua Chunying amesema waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atafanya ziara nchini Ujerumani na Ubelgiji kuanzia tarehe 30 mwezi huu hadi 2 June.

    Akiwa nchini humo, Li Keqiang atahudhuria mkutano wa mwaka kati ya mawaziri wa China na Ujerumani, mkutano wa viongozi wa China na Umoja wa Ulaya mjini Brussels na kufanya ziara nchini Ubelgiji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako