• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Benki ya Maendeleo Uganda (UDB) imepokea mikopo yenye thamani ya Sh bilioni 95 kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Kiuchumi Afrika

    (GMT+08:00) 2017-05-22 21:03:17

    Benki ya Maendeleo Uganda (UDB) imepokea mikopo yenye thamani ya Sh bilioni 95 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kiislamu (IDB) na Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA) kwa ajili ya kuendelea kukopesha wafanyibishara wa ndogo na kati (SMEs) nchini Uganda.

    Lengo kuu la mikopo kutoka kwa benki hizi ni hatua ya kuboresha uwezo wake, kwa ajili ya kukuza makampuni katika sekta binafsi.

    Wakopaji watakuwa na uwezo wa kupata fedha hizo kupitia michakato ya kawaida ya kupata mikopo kutoka kwa benki.

    wakopaji, pia, lazima wawe na biashara zilizosajiliwa na mipango yenye faida.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako