• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AFCON GABON 2017- U-17: Mali na Niger zasonga mbele

    (GMT+08:00) 2017-05-23 08:24:13

    Mabingwa watetezi Mali na timu ya Niger kutoka kundi B, zimefanikiwa kuingia nusu fainali kuungana na Ghana na Guinea kutoka kundi A. Mali iliifumua Angola goli 6-1 na kutwaa ushindi wa kundi A ikiwa na pointi 7 wakati Niger na Serengeti Boys ya Tanzania zikiwa na point 4 kila mmoja lakini Niger inasonga mbele kutokana na rekodi bora dhidi ya Serengeti Boys.

    Timu 4 zitakazocheza nusu fainali ndizo zitakazofuzu kucheza fainali za FIFA kombe la dunia kwa vijana chini ya miaka 17 nchini India mwezi Oktoba mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako